Faida za Tre en en

 


KAZI ZA TRE-EN-EN 


📌Husaidia kupata choo laini

📌Husaidia kubalance hormone, kubalance mizunguko ya wadada na maumivu ya tumbo wakati wa hedhi 

📌Husaidia mizunguko ya damu mwilini na afya  ya moyo 

📌Huongeza nguvu mwilini 

📌Hukuondolea uchovu na kukufanya kuwa mchangamfu siku nzima 

📌Husaidia kutoa  sumu mwilini 

📌Huboresha mbegu za kiume(sperm) 

📌Husaidia mfumo wote  wa mwili kufanya kazi vizuri 

📌Husaidia kwa wale wenye malaria sugu na za mara kwa mara kupotea kanisa 

📌Husaidia kuwa na ngozi laini 


Post a Comment

0 Comments