G1 LAUNDRY
Imetengenezwa na mboga mboga na matunda ikiongezewa na lemon grass
Ni sabuni Nzuri ambayo haimalizi muda wa mtu
Unaloeka nguo masaa matatu kisha unapitisha ,kusuuza na kuanika jina lingine inaitwa *sabuni inayofua yenyewe*
✨Loweka masaa matatu uchafu wote unajitoa kwenye nguo
✨Haipaushi nguo (wakaka wengi wanaipenda)
✨Haichubui mikono wala kuharibu nguo
✨Nguo itabaki na uhalisia wake miaka yote kwa atakae itumia
✨Imeongezewa compound ambayo hufanya uchafu kujichuja kwenye nguo
MATUMIZI G1
Kijiko kimoja utaweka kwenye lita 5 za maji na kijiko kitaongezeka kulingana na uchafu wa nguo
Vijiko viwili kwenye ndoo ya maji ya lita 10
Kama mtu anatumia washing mashine kijiko kimoja kwa kilo tano
Sabuni hii inasave pesa lkn pia nguo haziharibiki

0 Comments