DALILI ZA UTI SUGU KWA MWANAMKE NA MWANAUME NI ZIPI?
Kwanza tujue tukisema UTI tuna maana gani na tukisema UTI Sugu tuna Maana gani. Pamoja na tofauti zake ni zipi
■Kwa ufupi UTI kirefu chake ni Urinary track Infection na maana yake ni maambukizi katika mfumo mzima wa Mkojo ukijumuisha maeneo mbali mbali kama vile; kibofu cha Mkojo(urinary bladder), Njia ya mkojo(urethra), Figo, pamoja na tezi mbali mbali kama Prostate gland.
Maambukizi haya kwa asilimia kubwa huwa ya Bacteria,ambapo yanaweza kuwa ya mda mfupi,ya mda mrefu,au ya kujirudia rudia mara kwa mara.
■UTI SUGU maana yake; ni maambukizi katika mfumo mzima wa mkojo ambayo yamekuwa ya kujirudia rudia kila mara na ya mda mrefu hata baaada ya kutumia dawa nyingi na matibabu mbali mbali.
DALILI ZA UTI KWA WOTE(MWANAMKE NA MWANAUME) NI PAMOJA NA;
1.Kupata maumivu makali ya nyonga,mgongo,joint pamoja na viungo mbali mbali vya mwili
2.Kupata maumivu ya tumbo hasa hasa upande wa kushoto
3.Kuhisi kukojoa mara kwa mara ila ukikojoa mkojo hauishi
4.Kuhisi hali ya kuchoma wakati wa kukojoa
5.Kukojoa mkojo wenye rangi kama pink au nyekundu,hii ni baada ya UTI kuwa ya mda mrefu na kuanza kuleta madhara makubwa
6.Kuhisi hali ya uume kuwaka Moto
7.Kuhisi hali ya kuchoma au kuwasha kwenye tundu au njia ya mkojo
8.Kupata uchovu wa mwili kupita kiasi au Mwili kuchoka sana
8.Joto la mwili kuwa juu au Mtu kuwa na Homa(Fever)N.k
MADHARA YA UTI SUGU
Uti ikishakuwa ya mda mrefu huweza kuleta madhara makubwa kama;
– Matatizo ya Figo
– Kwa mwanamke kuwa hali ya Uke Mkavu kupita kawaida
– Shida kwenye kibofu cha Mkojo
– N.K
📌JINSI YA KUPATA MATIBABU YA UTI
Zipo dawa mbali mbali zinazoweza kutibu UTI,na ukiona umeshatumia dawa zaidi ya mara moja na hali inarudia vilevile nitafute upate suluhisho la kutibu chanzo cha tatizo na kupona kabisa
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA KWA CHANGAMOTO ZOZOTE ZA KIAFYA TUWASILIANE KWA NAMBA
+255 754 836 259

0 Comments